Quantcast
Channel: JIACHIE
Viewing all 46366 articles
Browse latest View live

ZITTO KABWE AONGELEA KUHUSU USIKU WA MATUMAINI 2013

$
0
0
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Zitto Kabwe akiongelea kuhusu Tamasha kubwa la Usiku wa Matumaini 2013 litakalofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Julai 7 mwaka huu.

sikiliza kauli ya Waziri mkuu pinda kuhusiana na matukio ya polisi kudaiwa kupiga wananchi katika matukio ya hivi karibuni.

Exim Bank underscores commitment to support fresh graduates

$
0
0
 The Exim Bank Tanzania Head of Human Resource (HR) Siaophoro Kishimbo (right) interviews Lulu Tawani (left) from the Institute of Social Work (ISW) during a Career Day Fair  organized by Non government organisaition Restless Development that brought together over 250 fresh graduates in Dar es Salaam yesterday. Second left is the bank’s Chief Finance Officer Selemani Ponda and the bank’s HRIS administrator Leonard Maufi (second right). 
 The Exim Bank Tanzania  Retail Banking Head Ramakrishna Rao (right) ) interviews Isaac Idama  (left) from the Tengelu College of Community Development during a Career Day Fair  organized by Non government organization Restless Development that brought together over 250 fresh graduates in Dar es Salaam yesterday. Centre is the bank’s Chief Finance Officer Selemani Ponda. 
The Exim Bank Tanzania  Retail Banking Head Ramakrishna Rao (right) ) interviews Isaac Idama  (left) from the Tengelu College of Community Development during a Career Day Fair  organized by Non government organization Restless Development that brought together over 250 fresh graduates in Dar es Salaam yesterday. Second left is the bank’s Chief Finance Officer Selemani Ponda. 
 The Exim Bank Tanzania HRIS administrator Leonard Maufi (left) shakes hands with Johari Haruna a third year student from St.Johns University during a Career Day Fair  organized by Non government organisaition Restless Development that brought together over 250 fresh graduates in Dar es Salaam yesterday.
The Airtel Tanzania - Quality Centre customer care personnel John Mercy (right) stresses a point to the Exim Bank Tanzania HRIS administrator Leonard Maufi during a Career Day Fair organized by Non government organization Restless Development that brought together over 250 fresh graduates in Dar es Salaam yesterday. Looking on at the left is the Exim Bank Tanzania Direct Sales Agenty Martin Yoda.

KWA MAHITAJI YAKO YA KEKI YA AINA YOYOTE

$
0
0
KWA MAHITAJI YAKO YA KEKI YA AINA YOYOTE ILE,USISITE KUBOFYA KITUFE CHA SIMU YAKO KWA DA' ANGELLA KUPITIA  NAMBA  0782297408,0713297408.

CRDB YAZINDUA FAHARIHUDUMA

$
0
0
 Dk Kimei akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa huduma mpya za Benki ya CRDB kupitia kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo'.
 Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa akizungumza machache kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa uzinduzi wa huduma mpya za Benki ya CRDB kupitia kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo' jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa CRDB wakisikiliza hotuba ya Mkurugenzi wa benki hiyo wakati wa uzinduzi wa FahariHuduma jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
 Wageni waalikwa katika uzinduzi huo, wakisikiliza hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji Dk Kimei (hayupo pichani).


 Dk Kimei akisoma moja ya vipepeushi wakati wa hafla ya uzinduzi huo.
 
 Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,Tully Mwambapa (kushoto) akifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa FahariHuduma 'Ulipo Tupo' inayotolewa na benki hiyo.
 Wasanii wa kundi la THT wakitoa burudani.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mataruma akitumbuiza wakati wa uzinduzi huo.
 Donald Mushi akitoa mada wakati wa uzinduzi huo.
 Baadhi ya wageni waalikwa wakipokea zawadi kutoka kwa, Naibu Mkurugenzi wa Benki ya CRDBEsther Kitoka
Ofisa wa benki ya CRDB, Ivonne Milinga akitoa maelekezo kwa baadhi ya wageni kuhusu namna ya kujaza fomu za kuomba uwakala wa FahariHuduma. 
 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakipozi kwa picha dakika chache kabla ya kumpokea na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo Dk Charles Kimei, katika hafla ya uzinduzi wa huduma mpya za Benki ya CRDB kupitia kwa Mawakala iitwayo FahariHuduma 'Ulipo Tupo' jijini Dar es Salaam. 
 Emmanuel Kiondo (wa tatu kushoto), akijiandaa kumpa mkono Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dk Charles Kimei wakati akiwasili Kempinski Hoteli kwa ajili ya uzinduzi wa FahariHuduma ya benki hiyo.
 Emmanuel Kiondo, akimpa mkono Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Dk Charles Kimei wakati akiwasili Kempinski Hoteli kwa ajili ya uzinduzi wa FahariHuduma ya benki hiyo.

KONYAGI YAGAWA KWENYE MABAA VIFAA 130 VYA KUHIFADHIA TAKA DAR

$
0
0
 Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Calabash iliyoko Mwenge, JUMA Kihoma, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika leo. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa 50.
 Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Mama Kamche's iliyoko Mwenge, Patrick Mrema, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa 50.

Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Etina iliyoko Mwenge,Egbert Mtunza, kifaa cha kuhifadhia taka zinazotokana na kinywaji aina ya kiroba kwa lengo la kudumisha usafi wa mazingira. Hafla hiyo ya kugawa vifaa 80 kwenye baa mbalimbali wilayani Kinondoni, Dar es Salaam, ilifanyika. Katika Wilaya ya Ilala waligawa vifaa
 Mchuruza akielezea mbele ya wanahabari umuhimu wa vifaa hivyo
Mchuruza akionesha moja ya vifaa hivyo

GENERAL ELECTRIC AND SYMBION POWER TO HELP BOOST TANZANIA’S POWER SUPPLY

$
0
0
General Electric and Symbion Power Tanzania Ltd. today signed a “Cooperation Agreement” with the objective of developing the 400MW gas-fired power plant in Mtwara to boost electricity in the south and the rest of the country. The project, to be located in Mtwara, is part of expansion plans for TANESCO, and will also include a transmission line from Mtwara to Songea.

Speaking during the signing ceremony at the offices of the Ministry of Energy and Minerals, GE Vice Chairman, President and CEO, GE Global, Growth & Operations, Mr. John Rice(L) said, “GE is committed to partnering with stakeholders to accelerate economic growth in Tanzania and the rest of Africa.”  He said, “a sustainable power supply continues to hamper Africa’s progress and Tanzania is no exception.”

Tanzania is growing rapidly and to ensure we have an enabling environment that supports sustainable economic growth, we need to overcome inhibiting challenges such as interrupted power supply.  This project will do just that,” said Mr. Rice.
 In this agreement GE will cooperate and collaborate with Symbion Power by providing technical and development support, including engineering studies, financial structuring and support with lenders and guarantee providers.
The Cooperation Agreement was signed(L) by Jay Ireland, President and CEO, GE Africa and(R) Don Brindle, General Manager, Symbion Power Tanzania in the presence of the(C) Minister for Energy and Minerals, Hon. Prof. Sospeter Muhongo who hailed the partnership as one that will enhance development for the energy sector in Tanzania.
“Today marks a key milestone that will change the face of Tanzania’s energy sector. GE continues to be a trend setter in provision of proven technology in power generation and in oil & gas exploration and extraction,” he said adding that, natural gas now accounts for 22 per cent of the world’s energy consumption and the demand is growing.
Symbion Power Tanzania Ltd. General Manager Don Brindle expressed his company’s enthusiasm in continuing its long-term relationship with GE, noting that natural gas is an environmentally-friendly and efficient energy source. “Working with GE on the 400 MW power plant project will make our work much easier as we will have access to proven technology and technical advice crucial to the accelerated completion of this project,” said Mr. Brindle.

Dada Godliva Nicholas asherehekea siku yake ya kuzaliwa na marafiki zake.

$
0
0
 Pichani ni keki iliowashwa na mishumaa ikisubiriwa kuzimwa na Dada Godliva Nicholas kwenye hafla yake ya kutimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake,iliyofanyika usiku huu ndani ya kiota kipya cha maraha cha Escape One kilichopo maeneo ya jirani na daraja la JKT Kawe jijini Dar.
  Dada Godliva Nicholas  akipiga makofi wakati wageni waalikwa (hawapo pichani)wakiimba ule wimbo maarufu kabisa wa besdei,huku keki yake ikiwaka waka vilivyo
 Marafiki mbalimbali waliojumuika kwenye hafla hiyo ya  Dada Godliva Nicholas  jioni ya leo.
 Zamaradi Mketema akimsaidia kukata keki  Dada Godliva Nicholas 
 Dj Mayanga na Mc Adam Mchovu wakishoo love kwa pamoja.
  Dada Godliva Nicholas akimlisha keki mumewe Rama.
 Baadhi ya marafiki waliojumuika kwa pamoja kwenye hafla hiyo ya  Dada Godliva Nicholas jioni ya leo.
  Dada Godliva Nicholas akimlisha keki rafiki yake kipenzi Zamara Mketema
  Dada Godliva Nicholas akimlisha keki mdau
  Dada Godliva Nicholas akimlisha keki Da'Suzzy
  






ANKAL AISHUKURU HOSPITALI YA KILUTHERI YA HAYDOM KWA KUMHUDUMIA VYEMA MWANAE

$
0
0
Nachukua nafasi hii kutoa shukurani zangu za dhati kutoka katika kilindi cha moyo wangu kwa Hospitali ya Kilutheri ya Hydom iliyoko mkoani Manyara kwa matibabu waliyompatia mwanangu Ally Hassan (16) aliyelazwa hospitalini hapo tokea siku ya Alhamisi Juni 13, 2013 akiwa hajitambui (in a coma) kwa muda wa siku nne mfululizo baada kuugua malaria sugu.

Shukurani maalum ziwaendee madaktari na wauguzi wote wa wodi ya wagonjwa mahututi (ICU) ambao kwa siku hizo nne tulikesha nao kumuuguza Ally ambaye aliletwa hapo toka Katesh alikoenda kumtembelea mama yake wakati huu wa likizo akiwa hana fahamu. Kwa upendo, weledi na utaalamu wenu hatimaye mlifaniklwa kupambana na malaria hiyo kwa ukamilifu. Hivi sasa Ally hajambo na anaendelea kupata nafuu kila dakika. 

Mama mzazi, Baba mlezi, mjomba, shangazi, mamdogo na mamkubwa mliojitoa kumsaidia Ally nawashukuru sana sana kwa upendo wenu.

 AHSANTENI SANA SANA SANA. 

Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Kilutheri ya Haydom sina cha kuwalipa zaidi ya kutoa ahsante kwa wote mliomshughulikia Ally pamoja na wagonjwa wengine waliolazwa hapo (nilishuhudia kwa macho yangu jinsi mlivyokuwa mkiwashughulikia wagonjwa wote kwa upendo na weledi kila dakika walipohitaji uangalizi) na kupata nafuu. 

Kwa niaba ya wagonjwa wengine waliopata huduma na kupata nafuu, natoa pia ahsante kwa kazi njema, ya weledi na upendo mnaoonesha kwa kila mgonjwa anayefika kutibiwa hapo Hydom. Ninyi ni mfano wa kuigwa katika mahospitali yetu yote hapa nchini. 

NAOMBA MOLA AWALIPE KWA  KUWAZIDISHIA 
PALE MLIPOPUNGUKIWA. MBARIKWE SANA.
AMEN 
-Muhidin Issa Michuzi
Ankal akiwa Haydom na na baba mlezi wa Ally Hassan (kushoto) na mjomba
Sehemu ya mbele ya hospitali ya Kilutheri ya Haydom, Manyara
Baadhi ya wodi za Hospitali ya Kilutheri ya Haydom, Manyara
Ankal akikesha kumuuguza mwanae Ally Hassan hospitalini hapo
Ally Hassan akiwa kitandani pake akiangaliwa na mama, mamdogo, mjomba na shangazi

MASHALI, MIYEYUSHO WAJIANDAA KUWAKABILI WAKENYA KATIKA USIKU WA MATUMAINI

$
0
0
Francis Miyeyusho (kulia) akimtupia konde Thomas Mashali wakati wa mazoezi leo.
Mashali (kushoto) akikwepa konde la Miyeyusho.
Miyeyusho akijifua kumkabili bondia Shadrack Machanje kutoka Kenya.
Mashali akipasha tayari kuzipiga na bondia Patrick Amote wa Kenya.
Mabondia hao katika pozi la kuzipiga wakati wa mazoezi ya leo.

Mabondia wa hapa nchini Thomas Mashali na Francis Miyeyusho leo wamefanya mazoezi ya pamoja katika gym iliyopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Mabondia hao wanajiandaa kuwakabili wenzao kutoka Kenya ambao ni Patrick Amote na Shadrack Muchenje kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Julai 7 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar.
(PICHA NA MUSA MATEJA / GPL)

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE ENEO MAALUM LA UWEKEZAJI LA TANGA ECONOMIC CORRIDOR SEZ

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanda, katika eneo maalum la Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Juni 21, 2013 jijini Tanga. Kushoto kwa Makamu ni Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Economic Corridor Ltd, Chris Incheul Chae.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa, Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Economic Corridor Ltd, Chris Incheul Chae na viongozi wengine kwa pamoja wakifurahia baada ya Makamu kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanda, katika eneo maalum la Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, wakati wa sherehe hizo zilizofanyika leo Juni 21, 2013 jijini Tanga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wakazi wa jijini Tanga, wakati alipofika eneo la Pongwe jijini Tanga leo Juni 21, 2013 kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Viwanda katika eneo hilo maalum la Uwekezaji la Tanga Economic Corridor Sez, linalosimamiwa na Wawekezaji kutoka nchini Korea Kusini.

Wateja watano wajizolea Milioni 2 kila mmoja za Cheka Nao

$
0
0
Meneja wa Idara ya Malipo ya Kabla wa Vodacom Tanzania, Yvonne Maruma (katikati) pamoja na Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu (kushoto) wakichezesha droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao ambapo washindi watano walipatikana na kujishindia shilingi Milioni 2 kila mmoja,Promosheni hiyo inawawezesha wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu,na Ili kujiunga mteja anatakiwa kupiga *149*01#.akishuhudia ni Ofisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania Bi.Chiku Saleh.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu akimpigia mmoja wa washindi miongoni ya watano waliojishindia shilingi milioni mbili kila mmoja kwenye droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao,inayowezesha wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu. Ili kujiunga mteja anatakiwa kupiga *149*01#.wanaoshuhudia ni Meneja wa Idara ya Malipo ya Kabla wa kampuni hiyo, Yvonne Maruma (kati kati)pamoja na Ofisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania Bi.Chiku Saleh.
Meneja wa Idara ya Malipo ya Kabla wa Vodacom Tanzania, Yvonne Maruma (kati kati) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa kuchezesha droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao ambapo washindi watano waliojishindia shilingi milioni 2 kila mmoja,Promosheni hiyo inawawezesha wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu. Ili kujiunga, mteja anatakiwa kupiga *149*01#.wanaoshuhudia kushoto ni Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo Bw.Matina Nkurlu (kushoto) pamoja na Ofisa wa Bodi ya Michezo ya kubahatisha nchini Bi.Chiku Saleh.

Wanaharakati Waichambua Bajeti Mpya ya Serikali 2013-14 .

$
0
0

 Mchambuzi wa Sera kutoka asasi ya TOWSF, Badi Darusi akizungumza leo katika mkutano huo, Kulia ni Marcelina Kibena mkazi wa Morogoro.


Mkutano ukiendelea ofisi za TGNP Mabibo Dar es Salaam


=========  =====  =======

Wanaharakati Waichambua Bajeti Mpya ya Serikali 2013-14 .

MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwa kushirikiana na wanaharakati ngazi ya jamii kutoka mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya, Morogoro, Pwani, Shinyanga na wadau wengi wa mtandao huo wameichambua bajeti mpya iliyosomwa hivi karibuni bungeni na kuainisha masuala anuai ndani ya bajeti hiyo.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyosomwa na Marcelina Kibena mkulima mkazi wa Morogoro, wanaharakati hao wa ngazi ya jamii kwa upande mmoja wameridhishwa na kitendo cha Serikali kutambua kasoro zilizokuwepo maeneo mbalimbali ya ukusanyaji wa mapato na usimamizi wake kama vile mfumo wa ukusanyaji kodi ambapo kwa sasa imerdhamiria kufanya maboresho ya sheria anuai za kodi.

Hata hivyo wameainisha mapungufu mengi ambayo yamejitokeza katika bajeti mpya na kuainisha maoni yao ikiwa ni pamoja na kuitaka Serikali iunde mfumo  shirikishi na endelevu utakaoweza kutengeneza bajeti ya taifa kwa kuzingatia vipaumbele vya wananchi wote wanawake na wanaume na makundi mengine yaliyoko pembezoni. 

"...Mikakati ya kilimo ilenge kuboresha na kuthamini hali ya wakulima wadogo. Maendeleo ya kilimo yazingatie kuboresha hali ya wakulima wadogo ambayo kwa sasa bado ni duni...Kukua kwa uchumi wa nchi kuende  sanjari na kupunguza umaskini kwa wananchi wote  wanawake na wanaume na makundi mengine yaliyoko pembezoni," alisema Kibena akizungumza na wanahabari kwa niaba ya wanaharakati wote.

Aliongeza katika mapendekezo yao wanashauri sekta ya afya iwe ni kipaumbele cha bajeti na serikali itenge 15%  ya bajeti kufuata azimio la Abuja, kwani hiyo ni moja ya sekta ya msingi na muhimu kwa ustawi wa jamii yote, hususan wanawake na nguvukazi ya taifa zima. 

Walishauri kuwepo na uwajibikaji zaidi katika ukusanyaji na usimamizi wa mapato na matumizi ya serikali ikiwemo kuondoa misamaha ya kodi isiyokuwa na tija na Upunguzaji wa utegemezi wa bajeti ya ili kupunguza mzigo wa kulipa deni na kuelekeza rasilimali kwa maendeleo ya watu.  

"Bajeti imeainisha mapato ya sh. za Kitanzania trilioni 18.2. Kati ya hizo matumizi ya kawaida ni sh. trilioni 12.6 wakati sh. trilioni 5.6 ni matumizi ya maendeleo. Tumeshangazwa kuona deni la taifa ambalo ni sh. za Kitanzania trilioni 23.6, likiongezeka na kuwa kubwa kuliko bajeti ya taifa. Katika bajeti kiasi cha sh. trilion 6.7, ambayo ni sawa na asilimia 36.8 ya mapato ya bajeti inategemea mikopo na misaada kutoka kwa wahisani na wafadhilii mbalimbali." 

"Bajeti imeanisha kiasi cha sh. bilioni 383.4 kama mapato kutoka halmashauri. Hii ina maana kwamba kwa idadi ya halmashauri za wilaya ambazo ni 152 wastani wa kila halmashauri ni kukusanya sh. bilioni 2.5. Je, huu ndio uwezo halisi wa halmashauri katika ukusanyaji wa mapato ukizingatia rasilimali na vyanzo vya mapato vilivyopo katika wilaya hizo? Tunahoji iko wapi mikakati ya kukusanya kodi kupitia vyanzo vya halmashauri ili kupunguza utegemezi wa mapato kutoka serikali kuu na pia halmashauri kuweza kuwahudumia wananchi wao?"

"Ni jambo la kusikitisha kuwa vyanzo vikuu vya mapato ni kodi zinazowagusa wananchi wa kawaida kama pombe, sigara, mafuta na simu na ndio tunazotegemea kuendesha maendeleo. Tunashauri serikali kutafuta vyanzo vya kodi visivyo wakandamiza wananchi wa vipato vya chini na kuanza kuondoa misamaha ya kodi isiyo na tija k.m kwenye kampuni za madini na gesi, kampuni za simu (k.m. huduma za milio na miziki ya simu), mahoteli ya watalii na vitalu vya kuwindia wanyama." Alisema Kibena 
akifafanua zaidi. 

Aidha aliongeza kuwa juhudu za kurekebisha sheria za kodi zinapaswa ziendane na usimamizi mzuri wa ukusanyaji wa kodi kutoka makampuni ya simu, mahoteli ya kitalii, bandari, nyumba za kulala wageni na usafiri wa ndege na treni huku ukiwepo mfumo wa utumiaji bora wa kodi zinazokusanywa na kuwawajibisha vikali wale wanaothibitishwa kuwa wamefanya ubadhirifu.

"Kuna ukinzani kati ya bajeti ya maji ambayo imeainisha bajeti nzima kuwa shilingi bilioni 300 na nyongeza ya shilling bilioni 184.3 ambayo jumla shilling billion 400, wakati hotuba ya bajeti iliosomwa na wizara ya fedha iliosomwa na waziri wa fedha ni shilling billion 747.6. Tunahoji ipi bajeti sahihi ya maji kati ya ile iliyosomwa na Waziri wa Maji na Umwagiliaji na Waziri wa Fedha?
 
"Ongezeko la upatikanaji wa maji safi, salama na ya kutosha kutoka 53.74% kufikia 56.57% ya watu waishio vijijini kutoka mwaka 2005 kufikia mwaka 2012 kama ilivyotamkwa katika mpango wa maendeleo wa 2013/14 (kifungu na. 65) ni ongezeko dogo katika kipindi cha miaka saba. Linatutia mashaka kuhusu kufikia upatikanaji wa maji kwa umbali wa meta 400 kufuatana na sera ya maji na umwagiliaji ya mwaka 2002. Hali hii itaendelea kuwafanya wanawake kuendelea kuhangaika kutafuta maji kwa umbali na muda na kuathiri shughuli za kiuchumi."

"Katika vipaumbele vilivyoainishwa bajeti ya sekta ya afya haijawekwa kama kipaumbele, wakati moja ya vipaumbele vya mpango wa maendeleo wa miaka mitano ni pamoja na kuimarisha rasilimali watu. Swali la kujiuliza ni je afya siyo muhimu kwa maendeleo ya uchumi wa nchi hii?. Pia bajeti ya afya ni sh. trilioni 1.5 (11%) ya bajeti ya taifa hailingani na Azimio la Maputo linalotaka kila nchi ilioridhia mkataba huo itenge asilimia 15% ya bajeti kuu kwa ajili ya afya." 

Naye Mchambuzi wa Sera kutoka asasi ya TOWSF, Badi Darusi akifafanua zaidi juu ya tamko hilo, alisema kwa mtazamo huo wa kimapungufu kadhaa kwenye bajeti mpya inaendeleza ubaguzi wa kijinsia na kuongeza matabaka kati ya maskini na matajiri, mijini na vijijini, wanawake na wanaume, vijana kwa wazee; hivyo, kusisitiza ipo haja kudai bajeti inayozingatia mahitaji ya wananchi na usawa na kijinsia.

*Imeandaliwa na www.thehabari.com

MR BLUE SULTAN KING NA KING DEPLAIZIR KUWASHA MOTO NDANI YA FACE CLUB READING IJUMAA YA 28/06/2013

TAMASHA LA RAHA ZA JANA NA LEO KURINDIMA JULAI 6 VIWANJA VYA POSTA

$
0
0

Tamasha la muziki wa dansi linalojumuisha bendi za zamani na za kisasa lijulikanalo kama raha za jana na leo ambapo jumla ya bendi sita zitapanda jukwaa moja kuonyeshana umwamba nani zaidi katika kukonga nyoyo za mashabiki siku hiyo. 


Waandaji wa tamasha hilo ambao ni Yuneda Entertainment wasema dhumuni la tamasha hilo ni kukutanisha radha ya muziki wa dansi ya kale na ya kisasa katika jukwaa moja ikiambatana na kuwaliwaza watoto waishio bila wazazi kwa kula nao, kucheza na kuwakumbuka wanamuziki wa dansi waliotangulia mbele ya haki.

 Akiongea na mwandishi wa habari hizi mratibu wa Tamasha hilo Kahabi Ng’wendesha amesema kuwa tamasha hilo litajumuisha bendi sita za muziki wa dansi nchini Tanzania ikiwemo bendi nne za muziki wa dansi wakongwe na bendi mbili za muziki wa dansi kizazi kipya. Bwana Kahabi akizitaja bendi hizo kuwa ni Sikinde, Msondo ngoma ,Twanga pepeta,Mashujaa musica,King kiki na Hamza kalala. 

Tamasha la Raha za jana na leo litafanyika siku ya jumamosi tarehe 6 mwezi wa saba katika viwanja vya chuo cha posta mkabala na chuo cha ustawi wa jamii vilivyopo jijini Dar es salaam ampapo milango ya uwanja itakuwa wazi kuanzia saa tano asubuhi hadi majogoo. 

Akitangaza vingilio vya siku hiyo Bwana Kahabi alisema kuwa watoto wataingia bure kabisa kuanzia saa tano hadi saa kumi na mbili ambapo watashiriki katika michezo na watoto wenzao waishio bila ya wazazi ikiwa ni fursa ingine kujumuika pamoja katika michezo mbalimbali. 

Pia kwa upande wa wakubwa watatozwa tshs 8000 tu mlangoni ambapo vinywaji na nyama choma zitapatikana ndani ya uwanja kwa muda wote kwa bei ya kawaida kabisa. Wito umetolewa kwa wazazi kuwaleta watoto wao siku hiyo ya tamasha la Raha za jana na leo ili wajumuike na watoto wenzao katika michezo mbalimbali,pia zawadi ndogondogo zitatolewa kwa watoto watakaonesha vipaji katika fani mbalimbali.

Makampuni ya simu kupandisha gharama Julai Mosi

$
0
0
Kufuatia kuongezwa kwa kodi katika huduma za simu za mkononi , gharama za huduma hizo zinatajiwa pia kuongezeka kuanzia Julai Mosi mwaka huu.

Taarifa ya pamoja iliyotolewa jijini Dar es salaam na Umoja wa Makampuni ya Simu za Mkononi Tanzania – MOAT imesema pendekezo la serikali la kuweka kodi ya 14.5 kwenye huduma za simu za mkononi hazotoweza kukwepesha kupanda kwa gharama za simu kwa watumiaji.

MOAT inasema awali kodi ilikuwa ikitozwa asilimia 12.5 katika huduma ya mawasiliano ya simu na kwmaba ongezeko la kufiikia asilimia 14.5 tofauti na nchi za jirani Kenya na Uganda ambazo zimeendelea kutoza viwango vya ushuru vya asilimia 10 na 12.5 tu ni mzigo kwa watumiaji wa huduma za simu za mkononi.

Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2013 unaainisha, huduma za mawasiliano kuwa ni; “huduma yoyote ya maelezo inayotolewa na makampuni ya mawasiliano ya simu kwa njia ya mawasiliano kwa kutoa au kupokea sauti, maandishi, na picha au taarifa ya aina yoyote kupitia mfumo wa kielektronikia.”Imesema taarifa hiyo iliyosainiwa na Vodacom, Airtel, Tigo na Zantel.

MOAT imesema eneo mojawapo litakaloathirika ni huduma za Intaneti eneo amablo linahitaji kuwekewa mikakati ya kulikuza kutokana na umuhimu wake katika maisha ya sasa kiuchumi na kijamii na wala sio kulizorotesha kwa kusababisha ongezeko la gharama na hivyo kuendelea kuwa na kiwango cha cha matumizi kilinganishwa na baadhi ya nchi nyengine zikiwemo za Afrika Mashariki.

“Hatua hii ya kuongeza kodi itakwenda kinyume na mipango iliyopo yenye lengo la kuibadili jamii kwa kuipatia maarifa ya msingi kupitia huduma ya intaneti sambamba na mawasiliano ya simu.”

Kwa mujibu wa MOAT, Tanzania ni kati ya nchi zenye kiwango cha chini ya matumizi ya huduma ya mtandao wa intaneti katika bara la Afrika ambapo watumiaji wa huduma hiyo ni asilimia 10 pekee ikilinganishwa na nchi jirani ya Kenya ambayo ina zaidi ya watumiaji asilimia 40.

Aidha, MOAT imeongeza kuwa, “mawasiliano ya simu si anasa bali ni huduma muhimu katika Tanzania ya leo, sasa tunawezaaje kuwatozakodi mara kwa mara watu hao hao ambao wanaitegemea huduma hiyo ili kuboresha maisha yao? Ilihoji taarifa hiyo ya MOAT.

Taarifa hiyo  imeendelea kusema kuwa kwa tozo la kodi ya mapato ya  asilimia 35 kwenye sekta hiyo ya mawasiliano ya simu linatosha kiasi ya kwamba sekta hiyo isngeweza kubeba mzigo zaidi wa ongezeko jingine.
Hivi sasa, upanuzi wa mawasiliano na miundombinu vijijini ndiyo kipaumbele cha sekta nzima. Tunaamini hapa ndipo ukuaji wa sekta ya mawasiliano ya simu itakapoonekana katika miaka ijayo. Ongezeko lolote la kodi litazorotesha uwezo wetu wa kutanua huduma zetu za mawasiliano na miundombinu maeneo ya vijijini, imesema MOAT.

“Tunaelewa kuwa serikali inayafanya haya yote ili kuweza kupata fedha kwa ajili ya kusaidia kwenye huduma za jamii katika maeneo muhimu. Ni bahati mbaya kwamba sekta ya huduma ya mawasiliano ya simu inaendelea kubeba mzigo mkubwa wa ongezeko hili ambapo wateja watalazimika kuubeba mzigo wa ongezeko hilo,” ilihitimisha taarifa hiyo ya MOAT.

Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari anaendelea vizuri.

$
0
0
 Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akionesha simu yake ya mkononi iliyokuwa na matukio ya tukio la kuvamiwa kwake.
 Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akiwa katika hospitali ya Taifa muhimbili jijini Dar es Salaam jana akipata matibabu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani jijini Arusha.
Mbunge wa Vunjo-TLP, Mh. Agustino Lyatonga Mrema akimjulia hali mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari.Picha kwa hisani ya Kapingaz Blog.
======  ========  =====

Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari Anendelea Vyema na Matibabu katika hospitali ya Taifa muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani jijini Arusha.

WAFANYAKAZI OFISI YA UBALOZI WA UINGEREZA WAPIGWA MSASA WA RASIMU YA KATIBA

$
0
0
 MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Humphery Polepole (kushoto) akitoa mada kuhusu Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania iliyoandaliwa naTume hiyo kwa baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya Ubalozi wa Uingereza nchini. Warsha hiyo ya siku moja ilifanyika leo (Ijumaa Juni 21, 2013) katikaOfisi za Ubalozi huo jijini Dar es Salaam.

(PICHA NA TUME YA KATIBA).

SOPHIA, PHILLIOUS NA LINDA WANG'AA REDDS MISS KINONDONI TALENT, FAINALI ZA REDDS MISS KINONDONI 2013 NI LEO GOLDEN TULIP HOTELI JIJINI DAR

$
0
0
Washindi wa Redds Miss Kinondoni Talent 2013 wakiwa katika sura za furaha mara baada ya kuwagalagaza wenzao na kujikuta wanapatikana wao Kutoka Kulia ni Sophia Yusuf, Phillious Lemi na Linda Joseph.
Jaji mkuu wa shindano hilo mtayarishaji wa Muziki, Man Walter akiwa na msaidizi wake wakati wa shindano hilo.

 Na Cathbert Angelo, Kajunason Blog.
Jumla ya washiriki watatu wamepatikana katika shindano Redd’s Miss Kinondoni Talent 2013 lililofanyika katika ukumbi wa Shekinah Garden, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

Akitangaza washindi hao, jaji mkuu wa shindano hilo mtayarishaji wa Muziki, Man Walter aliwataja Sophia Yusuf, Phillious Lemi na Linda Joseph kuwa ndiyo waliowagalagaza wenzao wapatao 10 waliokuwa katika kinyang'anyiro hicho.

Nae Muandaaji wa shindano hilo, Dennis Ssebo alisema kuwa fainali za mashindano hayo zinafanyika leo Juni 21 mwaka huu katika uwanja wa hoteli ya Golden Tulip.

Alisema kwamba shindano la mwaka huu litaandika historia mpya ya urembo kwa wilaya ya Kinondoni maana wamejipanga na kupata sapoti ya kutosha, hivyo mashabiki wa mashindano ya urembo wakae mkao wa kupata raha.

Mashindano ya Redd's Miss Kinondoni yamedhaminiwa na Redd's Original, Chilly Willy Energy Drink, Oriflame Natural Beauty Products, Kiota cha Maraha WANTASH, Virago, Times Fm, JB Belmonte Hotel, Michuzi Media Group, Michuzijr Blog, Mtaa Kwa Mtaa Blog, Fullshangwe Blog, HandeniKwetu Blog, Mrokim Blog, TheHabari.com, JestinaGeorge Blog, SufianMafoto Blog, Global Publisher, Mdimuz Blog, Lukaza Blog, MO Blog na Kajunason Blog.


Mambo ya maunooooo....
Aha! kila mmoja alionyesha umahili wake wa kuonyesha vituko, hapa ni nani kamwaga pombe yangu???
Bongiliiii bingiliiii mpaka chiniiiiiiiii....
...Mrithi wa Wanne sTAR akionyesha namna ya kula moto...
Segereeeee limenoga.
Muandaaji wa shindano la Redds Miss Kinondoni 2013, Dennis Ssebo akitoa machachee.
... huyu anafuata nyayo za Mrisho Mpoto
... kwenye Moja na Mbili ni Mwanadada Jenifa Kakolaki akimsaidiana na Dj
Wageni waalikwa...
...Kiuni bila mfupa
Matroni wa warembo wa Redds Miss Kinondoni 2013 akishangiliwa mara baada ya kuonyesha umahili wak e wa kucheza.

MICHELLE JENG FOUNDATION LAUNCH IN SWEDEN

$
0
0
 Dr Mwele Malecela officiating michelle Jeng Foundation
 Fashion Show during the Launch of the Michelle Jeng Foundation.
 Guest Of honour Dr Mwele Malecela giving a speech
 Michelle Jeng Speaking at the Launch of her Foundation.
 Michelle Jeng With some of the guest at the Launch
Guests mingling at the launch
=====   ======  =====
The MICHELLE JENG FOUNDATION was launched in Stockholm, Sweden by Tanzanian Model Michelle Jeng who aims to provide educational support to young girls living in her home country, United Republic of Tanzania.
 At the launch she said, “Through my foundation, I look forward to providing hope to young girls who shall be the leaders of tomorrow and provide for their education that shall be the catalyst to the change in their lives”  The Michelle Jeng Foundation launch was officiated by Dr Mwele Malecela. 

 Michelle Jeng is a well known Swedish model with Tanzanian/Senegalese heritage. Born and brought up in Sweden, she entered the modeling foray by winning the Miss Africa Scandinavia crown in year 2011. 

Thereafter she has worked globally from USA to China in various commercial shoots and runways shows such as Bangalore Fashion Week and Mercedes Benz Fashion Week Africa in Johannesburg
Viewing all 46366 articles
Browse latest View live




Latest Images